Msaada: Pink screen lenovo g 40

jacobcm8

Senior Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
173
Reaction score
127
Screen ina rangi ya pink pia kuna muda mistari inakuja na kupotea mfano nikiweka cursor na ku bonyeza kwenye " search box" au kwenye "wifi' icon
Pia Pc inakua nzito shida huenda ikawa nini?












Laptop Details
 
ok boss ngoja nichek
Mkuu nami nina tatizo kama hili kabisa natumia Lenovo Y50-Y70 mashine ya kisasa kabisa! Hii ni mara ya pili kutokea lakini huwezi amini first time ilitokea ikakaa sawa yenyewe nimeanza kuhisi ni issue ya VGA
Ukipata ufumbuzi wa kitaalam nishirikishe lakini maelezo ya Chief Mkwawa naona yameshiba
 
Nmetumia hdmi Lenovo G50 <-------->Samsung led Tv
kule haija display rangi rangi kabisa.......so nmegundua tatizo lipo kwenye display system ya Pc ........kuanzia wire unaokuja kutoka display hadi Motherboard na display yenyewe.................
NIKIBAINI CHANZO KABISA NITARUDI......ahsanteni
 
Mkuu ulipata ufumbuzi? Mimi tatizo lilikuwa n iVGA niliInstall drivers za graphics card mashine imekuwa mpya kabisa
 
Mkuu ulipata ufumbuzi? Mimi tatizo lilikuwa n iVGA niliInstall drivers za graphics card mashine imekuwa mpya kabisa
Ile ina shida ya dsplay n yakutoa maana nkitumia external monitor fresh.... nili install driver wap ila Juz kuna hp mpya nimetatua tatzo kama hilo shda ilikuwa graphics driver...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…