Msaada: Physician wa Ugonjwa wa Sukari Mwanza

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,352
9,321
Salam wadau

Naomba kwa yeyote mwenye kufahamu ninapoweza kumpata daktari specialist wa Ugonjwa wa sukari ama physcian kwa lugha ya kitaalam anisaidie uelekeo kwa maana anapatikana clinic ipi Mwanza na je NHIF anatumia au la.

Hii ni kwa mkoa wa Mwanza.
 
Salam wadau

Naomba kwa yeyote mwenye kufahamu ninapoweza kumpata daktari specialist wa Ugonjwa wa sukari ama physcian kwa lugha ya kitaalam anisaidie uelekeo kwa maana anapatikana clinic ipi Mwanza na je NHIF anatumia au la.
Una ugonjwa huo? Au una jamaa mwenye kisukari/"ugonjwa" wa sukari?
Au ni kwa mashauriano tu?

Kama una mgomjwa au wewe mwenyewe una tatizo hilo.rudi na jibu ,nikupatie ushauri.(ujanja wa kuondoa tatizo hilo,tiba ya kisukari- bila malipo(elimu bure)).
 
Yeah nna mama angu ni mgonjwa wa siku nyng sana
 
Back
Top Bottom