Msaada: Photo printer-digital inahitajika

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,633
Reaction score
7,021
Tafadhali sana nahitaji kununua ikiwa mpya na niko Mwanza.Kwa yeyote mwenye kujua zinapatika duka gani na bei yake anijulishe.Si vibaya hata kama nikipata taarifa kutoka Dar,Nairobi ama Kampala nitafuatilia. Pm ama nipigie 0788 9494 66.
 
Me ninayo HP Photosmart kama vp no PM tuonger

Sent from my iPhone
 
Tafadhali sana nahitaji kununua ikiwa mpya na niko Mwanza.Kwa yeyote mwenye kujua duka gani na bei yake anijulishe.Si vibaya hata kama nikipata taarifa kutoka Dar,Nairobi ama Kampala nitafuatilia. Pm ama nipigie 0788 9494 66.
Vipi ushapata?
 
unahitaji photo printer ya HP, LASER, SUMSUNG, CANON au aina gani unayohitaji?

Tafadhali sana nahitaji kununua ikiwa mpya na niko Mwanza.Kwa yeyote mwenye kujua zinapatika duka gani na bei yake anijulishe.Si vibaya hata kama nikipata taarifa kutoka Dar,Nairobi ama Kampala nitafuatilia. Pm ama nipigie 0788 9494 66.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…