Waadau nimeinstall PES 2012 kwenye laptop yangu imekubali lakini nikiifungua inaload vizuri hadi sehemu ya kucreate avatar inastuck then inatokea dialog box ya windows PES 2012 has stopped working.Anayejua solution naomba anisaidie
siijui hiyo application ila nadhani ni issue ya compatibility, kwa window vista na 7 unatakiwa kwenda kwa setup ya hiyo software na right click na pale kwa compatibility change to window xp then fanya reply & ok hapo fanya re-installation