PC yangu inasumbua ku turn on wireless connection, inaonesha tu wi-fi (off).. nikijaribu kuiclik ili iwe on inashindikana.. sijajua tatizo ni nin au nifanyanje ili niweze kutumia wireless.
Kwenye airplane mode inapiga kazi flesh.. yan naweza nikturn on and of vizur tuu.