Bruce Hebrews
Member
- Sep 22, 2021
- 17
- 35
Asante kwa Ushauri Bro!!!!Toa Batery,Disconnect cables zote kisha bonyeza kitufe cha kuwashia kwa sekunde 30 uachie then weka batery washa maisha yatakuwa laini.
peleka kwa fundi
Kama Umeona Hii ndilo Jibu Sahihi la kunijibu..ASANTE SANA
Hahaha..Kama Umeona Hii ndilo Jibu Sahihi la kunijibu..ASANTE SANA
Asante KakaMatumizi mazuri ya PC ni
Hiyo siyo simu kwamba uweke chaji usiku mzima.
- Ukimaliza kutumia, zima au sleep
- Disconnect waya zote km adapter n.k
- Chomoa vifaa vyote modem n.k
- Battery ikijaa, chomoa adapter
Toa battery, rudishia kisha angalia km kuna taa nyekundu pembeni mwa pc inaonyenya moto inapitisha. Subiri km dk 10
Washa computer yako kisha bonyeza windows button + f5
imekubali kuwaka?Asante kwa Ushauri Bro!!!!