Hapo Tatizo Lina Option Tatu Muhimu
1.Hapo Badirisha CD ya window unayoitumia kama ni flash basi iboot upya window yako yaweza kuwa ipo corrupted.
2.Option Ya Kwanza Ikiwa Sawa Na Imegoma Fungua Upande Wa HDD ichomoe Na Iweke Tena Kisha Rudia Option Ya Kwanza.
3.Option Ya Pili Ikigoma Pia Basi Unatakiwa Ubadilishe HDD Lakini Kama HDD NI Nzima Waweza iformatia Kwa Pc Nyingine Ama Ukaiweka Na Window Kabisa Kisha Irudishe Kwako naamini Itakaa Poa.
Option Zote Tatu Zikigoma Basi Jua Inabidi Umpelekee Fundi Moja Kwa MOja ama waweza Nicheck For futher Info
Ila naamini Hapo itakuwa Solved