Tatizo la hiyo computer ni file linaloitwa BOOT MANAGER limepotea au limefutwa. File hilo ni muhimu sana wakati computer inaanza kuwaka. Inaonesha wewe sio mtaalamu wa kufanya OS installation ndio maana hilo tatizo limefanyika hata hiyo windows 10 pia uliweka kimakosa ndio maana ikakataa kuwasha computer.Wakuu habari zenu...
Nina laptop yangu ya toshiba, ilikuwa na window 7 ila baada ya window 10 kutoka ikabidi niipige window 10....
Baada ya kuipiga window 10 ilikuwa inasumbua kuwaka kwaiyo nikaamua kuirudishia window 7...
Wakati napiga window 7 ikawa inagoma kabisa na mpaka sahivi nikiiwasha inaandika BOOT IS MISSING
NAOMBA MSAADA WAKUU
hatuhitaji kujua kuwa wewe ni mtumiaji wa miraaJaribu kuwashia petrol kama mafuta ya taa yamekataa
Hakuna windows 9 . kuna windows Xp softwin ambayo haikuwa official release hiyo ndio watu walikuwa wanaiita windows 9. Ingawa hakuna palipokuwa pameandikwa ni windows 9KUNA MTU ALISHAWAHI KUTUMIA WINDOW 9?
Nipe cons na prons ya hii window
Niliisearch google nikakutana na hii kitu. Imeandikwa window 9 ultimate 2015-X86 na ipo ya bit 64 kuna baadhi ya video nimezipata youtube zinaelezea hii kitu. Ndiyo sabb nikataka kupata maelezo zaid kuhusu hii window 9Hakuna windows 9 . kuna windows Xp softwin ambayo haikuwa official release hiyo ndio watu walikuwa wanaiita windows 9. Ingawa hakuna palipokuwa pameandikwa ni windows 9