Msaada: PC yangu haina sauti

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
Habari za muda huu, nimepatwa na tatizo na ninashindwa kulitatua, nilienda kwenye control Pannel na kufuta program zote za itunes kwa kuwa sizihitaji kwa sasa, lakini baada ya kufanya hivyo ninashangaa niplay audio au video yeyote haina sauti. Tafadhali naomba msaada wenu.
 
Driver za saut katika Device Manager zinaonekana kuwa installed au!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…