Ongeza sautiWakuu habari za wakati huu
PC yangu baada ya kupiga window naona haina sauti msaada pc ni Dell
Shukrani bossInabidi udownload drivers
Weka hapa model kamili ya pc, fatisha hii video unakili sehemu ya sysyem model.
View attachment 3032855