dah mkuu heshima kwako bana nimeweza kuondoa tatizo mida hii la PC yangu kujirestart pasipo kumaliza japo hujanielekeza jinsi ya kuiwasha katika form ya safe mode nikaona sio vibaya ni Google tu kwa sababu umeshatoa mwongozo kwa jamaa hapo juu.