Pole kwa matatizo! Una tatizo lakini tunashindwa kukusaidia kwasababu hujajieleza vya kutosha. Jieleze zaidi: Model ya laptop?? na unapo attempt kufanya internet setup unapata kikwazo gani? Je ni wireless internet access inagoma au??
Wakuu na mimi nina tatizo hilo.nimeinstall windows 8 kwenye pc (hp) sasa imegoma ku connect wireless network nashindwa kuelewa tatizo n nin. Windows 8 hua znaingia na driver zake moja kwa moja. ..nimerudia kuweka driver pack 2015 lakin bado tatizo lipo pale pale. .msaada wana jamvi