Msaada: PC inaleta ujumbe Boot device not found

pamjela

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
378
1,000
Pole sana mkuu kwa mujibu wa maelezo yako
Fata njia hizi naamini utafanikiwa
Kwanza tafuta case ya extnal itupie HDD yako kwenye case chomeka kwenye Mashine nyingine
km ikisoma je imeshow moja kwa moja au mpk uende kwenye manager
km utaiona mojakwamoja toa vitu vyako

Kisha download rufus
Tia tic list of USB devicei ili harddisk ionekane kule juu itasoma 512GB

Katika rufus
set scheme MBR for BIOS or UEFI
file systeam iwe NTFS

fomart HDD na rufus yaan fanya km unataka kutengeneza bootable USB

Acha imalize na OS uloweka kwa maana itakuwa bootable USB kamili

Kisha rudi kwenye Pc yako rudisha HDD washa PC bonyeza F10 go BIOS setting Kisha restore default settings save change ikirestart
rudi tena setting hakikisha UEFI na legency zipo on lkn ichague legency iwe first boot save change
kisha endelea tu km unapiga window usichomeke bootable USB yoyote
iache itabooty yenyewe wewe fata prosija za kupiga WINDOW

fanya hivyo then angalia km tatizo lako litakuwa limetatuka ama lah
 
maliedo

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
1,546
2,000
Pole sana mkuu kwa mujibu wa maelezo yako
Fata njia hizi naamini utafanikiwa
Kwanza tafuta case ya extnal itupie HDD yako kwenye case chomeka kwenye Mashine nyingine
km ikisoma je imeshow moja kwa moja au mpk uende kwenye manager
km utaiona mojakwamoja toa vitu vyako

Kisha download rufus
fomart HDD na rufus yaan fanya km unataka kutengeneza bootable USB

Katika rufys set scheme MBR BIOS or UEFI file systeam iwe NTFS acha imalize na OS uloweka kwa maana itakuwa bootable USB kamili

Kisha rudi kwenye Pc yako rudisha HDD wasaha PC bonyeza F10 go BIOS setting Kisha restore default settings save change ikirestart
rudi tena setting hakikisha UEFI na legency zipo on lkn ichague legency iwe first boit save change
kisha endelea tu km unapiga window usichomeke bootable USB yoyote
iache itabooty yenyewe wewe fata prosija za kupiga WINDOW

fanya hivyo then angalia km tatizo lako litakuwa limetatukaama lah kisha lete mrejesho
Shukran mkuu,ngoja nijaribu hii mbinu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom