Msaada Pc inagoma

Msaada Pc inagoma

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,074
Natumia windows 10 kwenye Laptop aina ya Hp.

shida ni kwamba tokea jana computer mouse na keyboard hazifanyi kazi na ni ghafla tuu iliandika error occured na mpaka sahizi kwenye keyboard naweza kuwasha tuu pc ila siwezi kufanya kingine maana keyboard hazifanyi kazi sala mouse
 
hilo tatizo la driver,ni kupiga tu window upya amna namna nyingine kama user interface azirespond.
 
Jaribu kutumia USB mouse kujua kama kweli tatizo,ni drivers
 
Kuna baadhi ya computer za Hp bado hazipo compatible na Win 10 ,solution weka win7 ukiupdate driver haiwezi kukubali mkuu.Piga win chini weka win7
 
Back
Top Bottom