Hayo makorokocho yakwap😄😄
Kuna uwezekano ni malware lakini bila kuona ni ngumu kutoa conclusion.
nimeshatuma mkuuHizo pic ziko wapi sas.....???
mafile yangu yote yapo mazima hayajiwakama document zinasoma 0kb ujue zishaliwa mkuu, piga window nyingine
basi program ambayo inawezesha kufungua hizo file inawezekan imeliwa,..scan kwanza, restart, kisha reinstall hiyo programmafile yangu yote yapo mazima hayajiwa
Virus hilo file, poleKuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoonaView attachment 2796642
Hyo PC yko nmeipenda, umenunua bei gn na wapKuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoonaView attachment 2796642
Tafuta Kaspersky antivirus. Utapakua km trial, ni nzuri. Huwa inasaidia sana ina 150mbmafile yangu yote yapo mazima hayajiwa
aha aahhhhKama pc ina virus na ww upo salama kweli?
kariakoo 600kHyo PC yko nmeipenda, umenunua bei gn na wap
Scanning virus 🦠Kuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoonaView attachment 2796642