Msaada, PC imezingua!

Boniphace17

Senior Member
Joined
Jul 19, 2012
Posts
118
Reaction score
42
nimefungua moja kati ya program kwa kutumia shortcut iliyo kwenye desktop kwa prog--open with--then nikachagua 1 kati ya program zangu..
Baada ya hapo kila program kwenye pc inarecomend kufunguka kwa ile previous selected program (let say ni window xplorer) then hata game kwa mfano litataka kufunguka kwa window xplorer..kitu ambacho kinafanya imposible kufungua such a program.
Naomba msaada wenu wanafamilia wa Jf.
 
Mkuu unaonaje kama ungeenda mbali kidogo,kuliko kusema tu 'let's say'! Ungesema ni shortcut ya program gani ulifungua ili iwe rahisi hata kusaidiwa.Labda ujaribu kuungua mp3 file kwa njia hiyo hiyo ila ukifika kwenye list ya programs hizo chagua Default Program,ikishafunguka,tick kwenye windows media player kisha ipe ok. Inaweza ikarudi normal.

Inawezekana ulichagua kurun kutumia program ambyo sio compatible.
 
nashukuru ndugu..
point ni kwamba nimefungua virtual dj kwa kutumia internet explorer, then shortcut zot kwenye desk top zimebadilika na kuweka nembo ya int.xplorer na ukienda mbali zaidi hata kwenye start butun program zote zinaonekana kwa logo ya int.xplorer na hazifunguki den mchezo unarud palepale itakuomba uchague prog ya kufungulia na utakayoichagua inakava prog.zote kwenye pc..
 
Jaribu system restore alafu chagua tarehe ya jana au juzi ili ku-reset settings
 

Tatizo dogo hilo mkuu uninstall hiyo program inayoonekana kwa zote afu restart computer, utakuwa umesolve hilo tatizo lako
 
Uza na ununue mpya.
Best advise ever
 
Huyo aliyemwambia anunue mpya he/she was joking.mada isihamie kwake.tumsaidie tu mwenzetu.
 
huwezi kufanya File Association ya .exe kwa kutumia .exe nyingine ni lazima utapata hilo tatizo! cha msingi fungua file types association then badili settings zako. Kama ukishindwa fanya system restore. Kama ikishindikana kabisa ntajaribu kutengeneza simple app ambayo itaforce ku-unassociate .exe ili kila moja ijitegemee.
 
Delete hyo profile inayosumbua (user profile) kwenye registry..log back in..Done!:becky:
 
Tatizo dogo hilo mkuu uninstall hiyo program inayoonekana kwa zote afu restart computer, utakuwa umesolve hilo tatizo lako

thanx.. Nimefanya hivyo na imefaa..
But tatizo linakuja wapi?...the uninstalled program haifai tena kuwa installed coz niki install tu..mchezo unarudi ulipotoka.. Daah!
 
embu nijibu hili.! Je shortcut zako ulizoweka kwenye desktop zimebadilika na kuwa kitu kimoja kuna mahali umeingia na ku open default program kwahyo zimegeuka na kuwa internet explorer..ndo unamaanisha hivo mkuu?
 

Ninasolution ya hilo tatizo kwani nimeshasolve kama mara tatu,hizo option za system restore ni za mwisho na ni vigumu kukuelekeza.Kama una team viewer version 7 au 8 ni pm.
 
embu nijibu hili.! Je shortcut zako ulizoweka kwenye desktop zimebadilika na kuwa kitu kimoja kuna mahali umeingia na ku open default program kwahyo zimegeuka na kuwa internet explorer..ndo unamaanisha hivo mkuu?

Yeah..dats wat i mean mkuu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…