msaada:Pad za game kwenye pc zinagoma

msaada:Pad za game kwenye pc zinagoma

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
nlinunua pad za kucheza Game kwenye PC sasa nkafika home nkachomeka zinagoma ila zinawaka vizuri vitaa vyake,pad zenyewe ni UCOM..... je kuna tatizo gani?
 
ni game gan hiyo inayokataa izo padi kwasababu sio lazima kuwa na driver za padi
 
nlinunua pad za kucheza Game kwenye PC sasa nkafika home nkachomeka zinagoma ila zinawaka vizuri vitaa vyake,pad zenyewe ni UCOM..... je kuna tatizo gani?
Hapo huenda game ndilo ambalo hali kubal pad
hebu fanya hivi kuangalia kama pad ni nzima

Untitled.png

halafu bonyeza vibonyezeo ktk pad utaona hapo ktk hizo namba zina konyeza.
 
haina iyo sehemu natumia window 7
 
Back
Top Bottom