Msaada OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA

Msaada OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,574
Habarini za kazi wakuu, poleni na uchaguzi maisha lazima yaendelee..

Naombeni msaada wa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma pia. Tafadhali sana kama ww hujui au
unaona haikuhusu pitia mbali, si lazima uchangie
.

iko hivi: kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu siwezi kwenda chuo kusoma bachelor moja kwa moja maana niko kazini (kukaa chuoni 3yrs)..
so naona option iko moja tu nayo ni open university, nakata kusoma Bachelor of Science in ICT (nina diploma ya IT)

lakini nina mashaka kuhusu hiki chuo..

Je Elimu nitakayopata nitaweza kuwa na uwezo stahiki (kama mwanafunzi anayesoma vyuo vikuu vingine)

Je hadhi ya chuo hiki kwenye soko la ajira ikoje (naweza kushindana na watu walisoma vyuo vingine)

Je nitaweza kusoma na kufaulu

na mambo mengine ambayo unaweza kuona yakanisaidia..

Kwa wale ambao wamesoma OPEN na mna uzoefu nayo KARIBUNI SANA

nawasilisha..
 
Hofu yako kuhusu OUT imejengwa kwenye msingi gani? Nini kinakufanya utilie shaka?
 
Kwenye hayo maswali..
Hadhi yake kwenye soko la ajira
Elimu yake kwamba nitakapomaliza je naweza kuwa competent
Je namna yake ya usomaji, inawezekana?? Yaani mtu upewe materials ukasomee home then mnakutana kwenye pepa..
 
Mi pia ni mhanga wa hili swala la kujisomea nyumbani alafu tukutane siku ya paper but inawezekana kwa baadhi ya course hasa social science lakin kwa IT sijui, inabidi u strugle sana unless utakuwa umapoteza muda
 
olele Bachelor ya ICT OPEN UNIVERSITY SIO DISTANCE MNAKAA DARASANI HIVYO UTAPATA UELEWA WA KUTOSHA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom