nina shida kidogo kuhusu drivers kadhaa za windows 7,je driver inayohusika na ku-display FN key baada ya formatting ni ipi?,na what drivers do you use kama ukitaka ku=update driver na hiyo driver haina jina...like "uknown device" driver...ahsanteni
Download Input DeviceDriver of your specific Laptop from Toshiba it might fix your problem japo kwa kawaida fn key works as long as keyboard works normal, hakuna drv of fn keys. or chk pengine it is disabled from your Cmos