Habari zenu wapendwa, naomba mwenye taarifa zinazohusu maendeleo ya sekta ya uvuvi kwa Tanzania, kama kuna study yeyote ilifanyika na inawea kupatikana itakuwa vizuri zaidi.
Asante Mjimoto, nimeenda kwenye link uliyonipatia, lakini naona taarifa ni za muda mrefu. Ningeshukuru pia kupata za hivi karibuni na hasa kama kuna study inayoangalia maendeleo ya sekta uvuvi kwa ujumla wake.