Msaada Office za Google

Turudi pale Rau Madukani

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2016
Posts
2,793
Reaction score
5,900
Habari za wakati huu wadau.
Naamini humu siwezi kukosa msaada kabisa maana kuna wataalamu wakila aina.
Kwa yeyote anayejua mawasiliano ya kampuni ya google hasa email ya office naomba.
Kuna msomi mmoja nakaa naye amenikatisha tamaa, anasema hawana ofisi maalumu ndio maana hata kodi hawalipi.
Hii ilikuwa ni baada ya ku-google mawasiliano yao na kuishia kupata ofisi za kikanda tu na namba zao za simu bila email.
Kuna shida nimeifikiria kwa muda nataka tuwasiliane,kama itawezekana.
Ahsante.
 
Kwanini usiwaulize hao wa ofisi ya kanda?
 
Kwanini usiwaulize hao wa ofisi ya kanda?
Wameweka namba za simu bila email, nimewapigia naona simu inaongea automatialy nimeamua kukata.
Hata hivyo ingenipa shida kwa sababu kizungu ningeshindwa kuongea wazo langu kwa ufasaha kuliko nikifanya kuandika na ndio maana nataka email.
 
Japokuwa sijui lakini sina uhakika na hii. Haiwezekani sisi tutumie gmail, then na wao watumie gmail.
Kwani gmail ni ya nani?
Pili una shida ama una solution ya shida?
Tatu
 
Kwani gmail ni ya nani?
Pili una shida ama una solution ya shida?
Tatu
Shida ama solution yote ni sahihi, yapo kwenye fikra zangu.
Na ndio maana naomba mawasiliano yao ili tuangalie hiyo solution ya shida ya muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…