msaada: office kwenye window 8

dreamchaser18

Member
Joined
May 21, 2014
Posts
88
Reaction score
36
msaada wakuu nilikuwa natumia window 7 lakini baada ya kupiga window 8 nashindwa kuinstall word
 
Kuwa specific, kusema tu kuwa inakataa haisaidii ni steps gani unafuata na unamaanisha nini kuwa inakataa? kuna error? una Windows 8 version ipi etc.
 
steps gani unafuata na unamaanisha nini kuwa inakataa? kuna error? una Windows 8 version ipi etc.
hakuna error nafuata step zote naweka hadi product keys ila ikianza ku-instal inachukua mda mrefu haimalizi
 
Fanya moja kati ya haya yafuatayo
  • Kama unafanya installation kwa njia ya CD angalia hiyo cd kama imechunika/haijachunika - Tafuta CD nyengine
  • Kama copy ya office 2007 ipo kwenye PC yako na haikubali basi tafuta ISO nyengine itakubali
  • Waweza tafuta pia Office 2010 au Office 2013 badala ya hiyo ya 2007
  • Nashauri tumia office 2013 ipo hapa | JF Store
hakuna error nafuata step zote naweka hadi product keys ila ikianza ku-instal inachukua mda mrefu haimalizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…