Kwa maelezo haya basi bila ubishi hapo wanaishi majini. Majini huoenda kukaa kwenye nyumba zilizosahaulika/zilizotelekezwa sasa wanashangaa mmewavamia makazi yao poleni sana. Cx Mshana JrSio kweli mkuu hii nyumba imejengwa kwa pesa safii na halali sema sehem ilipo ni imejitenga sana,na toka ijengwe sisi hatujawahi ishi ilikaa zaidi ya miaka mitatu bila kuishi mtu
Short and clear! Thread closed.peleka mifupa ya kitimoto!!
😀 ila sijuagi siri ya mnyama huyu..ni mtamu kuliko wanyama wote tena ukiwa na chachandu pembeni, alafu kumbe pia anafukuza hizo mambo zingine....Short and clear! Thread closed.
Heri yako usioamini mkuuYani tz ccm itatawala milele
Bado kuna watu wanaamini huu upuuzi?
Tena hawa watu wanaosema wana maruhani sijui majini gani!! wewe shika huyo mtu fungia chumbani alafu ukiwa kwa nje dirishani choma mfupa au mifupa ya PIG A.k.A Mnyama mtamu kuliko wote duniani alafu ule moshi ufukizie kwenda chumbani..Alafu sikilizia ule mtiti wake.Short and clear! Thread closed.
Kisomo hakitakusaidia anatakiwa mtu mwenye uwezo juu ya mauzauza sio kisomo. Ka unabisha, nunua ubani wako kafanye hicho kisomo. Ila, siku ikishindikana, njoo PMVisiwani mafia mkuu tunataka tukafanye kisomo mzee
Kua uyaoneSo kweliii