Msaada nyumba ina mauzauza

Yawezekana mzee aliwajengea hao viumbe wahishi humo, lakini ninyi mkaamua kuwadhulumu na kuwahanganya na watu, ndiyo maana hao viumbe wanawacharaza bakora kulinda himaya yao
 
Mzee ukishindwa toa ushauri unaweza kaa kimya tu
Yawezekana mzee aliwajengea hao viumbe wahishi humo, lakini ninyi mkaamua kuwadhulumu na kuwahanganya na watu, ndiyo maana hao viumbe wanawacharaza bakora kulinda himaya yao
 
Hao wapangaji watakuwa wanga wanawangia wanakijiji Sasa wameamua kuwarudi kwa viboko waambie wahame haraka wanga hao
 
Nipe mimi nithibitishe. Hayo madude yanatisha watoto. Nenda na nyama ya nguruwe tu
Akichoma kiti Moto au kupika hapo ndani majini lazima yakimbie yakimbilie msikitini.Kiboko Cha majini Ni kitimoto .Hata mtu akiwa na majini mlishe kitimoto yataondoka hayarudi tena
 
Akichoma kiti Moto au kupika hapo ndani majini lazima yakimbie yakimbilie msikitini.Kiboko Cha majini Ni kitimoto .Hata mtu akiwa na majini mlishe kitimoto yataondoka hayarudi tena
Sasa huo si ushirikina tena yani unaamini nyama ya nguruwe ina uwezo wa kutoa majini?
 
Bado ni story mpaka Uchapwe wewe...![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao ukute wametunga tu...Kalale wewe mkuu acha mastory ya uongoo hayo
Shida ni kwamba hatalala atakesha na tutakosa mrejesho
 
Shida ni kwamba hatalala atakesha na tutakosa mrejesho
Kweli kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila usingizi noma atapitiwaa tu mzee aamshwe na bakoraaa za maana..!!
 
Hahaaa eti kama walikua wavuta bangi
 
Mifupa ya nguruwe.
Maombi.
Bangi nk.
 
Fundi maiko at work [emoji23]. Hebu angalieni hapo hamna fundi anaye wadai kwenye ujenzi wa hiyo nyumba mmh!
 
Yani tz ccm itatawala milele

Bado kuna watu wanaamini huu upuuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…