Msaada nyumba ina mauzauza

Unapoomba msaada halafu unaficha nyumba ilipo nadhani huutaki msaada. Sema ni pwani wapi. Pili; Kama unautaka msaada wa kweli njoo PM nitakusaidia.
Kuna nyumba ilijengwa toka 1979 hadi 2006 hapakulala mtu. Kila aliyelala humo alichapwa bakora za kutosha. Wa mwisho aliacha hadi vifaa vyake mle akavisamehe. Tangu nifanye maombi humo sasa ni miaka 4 wapo salama
 
Mandingo tu ya babaako hayo mkuu, anataka kila mmoja akae mbali na mali zake akatafute kazi. Hiyo advataiz tu mkitawanyika ana switch off mambo yake anajiachia na mkewe.
 
Hapana mkuu hatuna ugomvi na ndugu kila mtu alipewa sehem yake na hapajawahi kuwa na makuburi ni eneo la mashamba ya minazi
 
Visiwani mafia mkuu tunataka tukafanye kisomo mzee
 
Asante mkuu
pwani ni kubwa hujasema ni mji gani ila sio kesi cha kufanya nendeni kwenye huo mji nyumba ilipo na huyo mzee wako atafute wazee wawili watatu ambao ana ukaribu nao akae nao awaeleze hiyo shida atapata ufumbuzi bila shaka
 
Janja janja ya wapangaji,hapo walitaka kodi ipunguzwe ili wapate kitonga so wameingia na gia ya uchawi.shtuka.
 


Mshana Jr
 
Hapana mkuu hichi kiwanja kipo kwenye eneo ambalo mzee aliachiwa na babu yetu ni eneo kubwa lenye minazi ,issue ni.kwamba palikaa mda mrefu bila mtu kuishi kwenye ile nyumba
Hao hao babu zenu hawataki mpangishe wanataka mkae nyie wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23], kama Mzee wako yupo muulize vizuri kuhusu hao babu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…