mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,364
- 6,487
Au Itakuwa imejengwa kwa hela za wizi au dhuluma Kuna watu ukiwaibia au kuwadhulumu au kuwatapeli hukaa kimya wanakufanyizia majibu Yake ndio Kama hayo Ikabidhi bure kwa walokole achana nayoUngeenda kulala ili uthibitishe maneno yao, na je hicho kiwanja hakikuwa na migogoro? Au hakukuwa na udhurumati wowote uluofanyika katika kununua kiwanja au kujenga?
Ungeenda kulala ili uthibitishe maneno yao, na je hicho kiwanja hakikuwa na migogoro? Au hakukuwa na udhurumati wowote uluofanyika katika kununua kiwanja au kujenga?
Sio kweli mkuu hii nyumba imejengwa kwa pesa safii na halali sema sehem ilipo ni imejitenga sana,na toka ijengwe sisi hatujawahi ishi ilikaa zaidi ya miaka mitatu bila kuishi mtuAu Itakuwa imejengwa kwa hela za wizi au dhuluma Kuna watu ukiwaibia au kuwadhulumu au kuwatapeli hukaa kimya wanakufanyizia
Michezo midogo hiyo!zamani nilikuwa najua ni story za kutungwa tu au chai lakini hii nimeshuhudia mwenyewe,ni hivi mzee aliamua kujenga kibanda ( nyumba) katika wilaya moja ya pwani nyumba ilijengwa kwa madhumuni kama tukitaka kwenda tuwe na mahali pakufikia bahati mbaya ile nyumba toka ijengwe hatujawahi kwenda tukaona isiwe kesi yasije kuwa mahame tukatafuta watu wakae ili pachangamke kidogo kilichowakuta wamefungasha virago wenyewe ndani ya week ni kwamba usiku wakilala wanapigwa makofi na kucharazwa bakora, juzi wamepashindwa wamerudisha funguo sio kwa bakora na makofi wanayopata,msaada jamani njia gani ya kuweza kufukaza hao viumbe ......
Hamna ugomvi wa ndugu wa mirathi ya Huyo babu yenu? Na hamna kaburi Hilo eneo msije kuwa mumejenga karibu ya kaburi au juu ya kaburi Kuna Marehemu wengine wakorofi hawatulii kwao walikozikwa hutoka kufanya vurugu hasa Kama walikuwa Vibaka Vibaka au wavuta bangiHapana mkuu hichi kiwanja kipo kwenye eneo ambalo mzee aliachiwa na babu yetu ni eneo kubwa lenye minazi ,issue ni.kwamba palikaa mda mrefu bila mtu kuishi kwenye ile nyumba
zamani nilikuwa najua ni story za kutungwa tu au chai lakini hii nimeshuhudia mwenyewe,ni hivi mzee aliamua kujenga kibanda ( nyumba) katika wilaya moja ya pwani nyumba ilijengwa kwa madhumuni kama tukitaka kwenda tuwe na mahali pakufikia bahati mbaya ile nyumba toka ijengwe hatujawahi kwenda tukaona isiwe kesi yasije kuwa mahame tukatafuta watu wakae ili pachangamke kidogo kilichowakuta wamefungasha virago wenyewe ndani ya week ni kwamba usiku wakilala wanapigwa makofi na kucharazwa bakora, juzi wamepashindwa wamerudisha funguo sio kwa bakora na makofi wanayopata,msaada jamani njia gani ya kuweza kufukaza hao viumbe ......