Msaada nokia n8

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Wadau nimeiflash hii simu tatizo limekuja baada ya kui flash nikiwasha ina vibrate kidogo haiendelei kuwaka na hata logo ya nokia haitokei nifanyeje wadau ,kama kuna mtu na file lake ambalo ni latest anisaidie
 
Ndugu. kama simu yako ilifanyiwa Belle update basi jamaa ameidowngrade hiyo simu yako. na kwa kudowngrade kunafanya simu ishindwe kurespond wakati wa kuwaka. ingia hii site inaitwa mrcrab.net chagua FIRMWARE YA NOKIA N8 ila iwe belle. Ila ni vizuri ukaingiza product code ya simu yako. Hapo utapata firmware inayoendana na device yako. Kisha uiflash kwa kutumia Phoenix software.
 

ni kweli mkuu hivyo hivyo ila nihakikishie kuwa simu haijafa maana nilipo mbali na sehemu za flashing kwa hiyo mpaka nisafiri,naogopa nisije poteza nauli,nikimpata fundi mzuri si inapona?
 
Ndugu nakuhakikishia kwamba haijaharibika. Kwa sababu nilikuwaga naflash nokia moja na zile flash files zilikuwa za version ya nyuma kuliko ya simu. Kwa hiyo simu ilikuwa inawaka inavibrate halafu inazima
 
Ndugu nakuhakikishia kwamba haijaharibika. Kwa sababu nilikuwaga naflash nokia moja na zile flash files zilikuwa za version ya nyuma kuliko ya simu. Kwa hiyo simu ilikuwa inawaka inavibrate halafu inazima

poa mkuu ngoja nijaribu kutafuta file japo nimekuta moja lina gb kama 3 hivi nitest kwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…