Wakuu, poleni na majukumu ya kujenga taifa. simu yangu nokia n8 orijino imezima ghafla na haitaki kuwaka wala haingizi tena chaji! naombeni msaada wenu namna kuiwasha.
Kama uko serious na post yako nenda kwa mafundi wa simu wanazo special tool ya kufungua hizo screw4 ya nokia N8. pia unaweza kugoogle Nokia N8 disassembly kuna maelezo ya namna ya kutoa betri hiyo.