msaada nokia lumia 520

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
404
Wakuu Kuna jamaa anatka kuniuzia Nokia lumia 520 kwa laki mbili je bei hii iko fair??? Hlf nahitaj kujua km inakubali m pesa na tigo pesa ??? Kwani imetoka south Africa bado haija flashiwa
 
Andaeni laki tatu nikiinunua ntawauzia
 
Kwenye thread ya Chief Mkwawa ameichambua vizuri sana kuwa ni smartphone ya bei nafuu yenye vitu vingi vizuri.

Bei ya Dar kuna jamaa yangu mwaka jana Brand New alinunua kwa 350000/- sasa hiyo bei ikiwa kama sio ya mchina chukua .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…