Samahan wakuu nataka Ku update Nokia Lumia 520 lakini nikisearch update naipata ILA inanitaka nidownload kupitia WI-Fe, Nikiconnect na wi-fe wala hai download updates . nikitaka nidownload kupitia mobile data siipati hiyo option nisaidien wakuu katika hili
Huwezi kwa mobile data, unless update kwa pc na software inaitwa windows mobile data recovery tool. Unaweza ukaigoogle, hio mobile data yako iweke kwenye modem ama njia yoyote ile ili pc iipate.