Habarini jamani
Naombeni msaada kwa anayefahamu kwa maana ninatumia simu aina ya huewei y 600 inajaribu kuinstal programs katika play store ina niandikia no space available alafu nikaingia kwenye setting kisha nikaenda kwenye playstore nika clear data lakini bado imegoma
habarini jaman
naomben msaada kwa anaye faham kwa maana ninatumia sim aina ya huewei y 600 inajaribu kuinstal programs katika play stal ina niandikia no space available alafu nikaingia kwenye setting kisha nikaenda kwenye playstal nika clear data lakini bado imegoma
Sijui kama hiyo simu ina Option ya KuInstall apps kwenye SDcard, Ila jaribu kuSet Default storage kuwa SDCARD. Kama itakataa basi fuata huu ushauri hapa chini
->> Uninstall programs mbili au tatu ndio ujaribu kuDowbload app nyingine
Sijui kama hiyo simu ina Option ya KuInstall apps kwenye SDcard, Ila jaribu kuSet Default storage kuwa SDCARD. Kama itakataa basi fuata huu ushauri hapa chini
->> Uninstall programs mbili au tatu ndio ujaribu kuDowbload app nyingine
hapana, unaweza kuona ina free space lakini kumbe partition ya Programs imejaa. Hiyo nafasi unayoiona hapo ni general kwaajili ya storage ya files na sio installation directory. Sehemu ya installation ya apps huwa imefichwa isichanganyike na files zingine kama vile picha na miziki.
Ukitaka kuona free space iliyobaki katika partition ya Apps, nenda SETTINGS-> APPS-> ALL , halafu angalia pale chini utaona ukubwa wa hiyo directory na free space yake. angalia picha hii hapa chini.
If ur on Stock ROM dial *#9900# (system dump) delete "Dumpstate logcat" Reboot
If ur rooted Reboot into Recovery mode.Format cache.Go to advanced Format Dalvik cache..
Thank me later via mpesa