kambagasa JF-Expert Member Aug 18, 2014 2,261 1,785 Dec 30, 2015 #1 Heshima kwenu ndg. Ni njia gani rahisi na salama ya kutuma kifurushi nje ya nchi mfano. Congo, Namibia, South Africa ama Botswana
Heshima kwenu ndg. Ni njia gani rahisi na salama ya kutuma kifurushi nje ya nchi mfano. Congo, Namibia, South Africa ama Botswana
kambagasa JF-Expert Member Aug 18, 2014 2,261 1,785 Dec 31, 2015 Thread starter #5 mtembea kwa miguu said: Tumia DHL Click to expand... Mkuu gharama zao zikoje na je ofisi zao zinapatikana wilayani au hadi uende mikoani?
mtembea kwa miguu said: Tumia DHL Click to expand... Mkuu gharama zao zikoje na je ofisi zao zinapatikana wilayani au hadi uende mikoani?