moudoudo og
Member
- Jan 30, 2015
- 24
- 0
Habari za asubuhi wakuu,
Poleni na mihangaiko na majukumu. Kwa yeyote anayejua yanapopatikana maziwa ya Watoto wachanga infacare namba 1 naomba anisaidie kunielekeza, Mimi nipo Dar nimetafuta maduka mengi nimekosa na mwanangu ndio anatumia hayo. Kwa yeyote anayejua Tafadhali!