how tulikuwa watumwa
Member
- Jul 23, 2023
- 38
- 138
Habari wakuu napenda nitoe update ya Gari yangu juu ya shida ya kujizima shida ilikua sensa nimerekebisha hilo na gari iko sawa. Sensa ya milango ilikuwa inaliingilia gari linapokuwa speed na kulizima. Asanteni
HiiXtrail ipi hiyo inayosumbua? Tolerance la kwanza au zingine?
Tulishindwa kuheshimianakivipi tulikua watumwa
We mzee umepiga picha Gari yangu sio bure.
[emoji3]hapanaWe mzee umepiga picha hari yangu sio bure.
Kuzima inakuwa kama taa za switch ikiwa on unapowasha gar means tatizo sio taa ila tatizo ni gari inajizimaSasa gari imewasha taa zote hizo, imezima then unawasha unaendelea na safari?
Mkuu uko serious kweli?
Apo unamaanisha nini plag auAngalia injection au system ya moto
Ya gari
Ova
Mafuta yanakuwepo ya Kutosha??? Maana gari zingine mafuta yakiwa kidogo huwa zinafanya hivyoo...Apo unamaanisha nini plag au
I think upo sahihiAngalia injection au system ya moto
Ya gari
Ova
Ni pikipiki bosskabla hamjanunua magari muwe mnapitia nyuzi za magari zipo humu. xtrail sio gari. pole mkuu.
Sina ufundi nalo sana ila sidhani kama shida ni mafuta. Magari hayo yanahitaji fundi mzuri kwani yana mifumo ya Sensor nyingi sana so inahitaji umakini mkubwa sana.Mafuta yanakuwepo ya Kutosha??? Maana gari zingine mafuta yakiwa kidogo huwa zinafanya hivyoo...