Ndugu zangu naomba mnisaidie, gari yangu inazingua ikiwa katika hali ya kawaida taa ya 4 wheel inawaka katika dashboard na ukisema utie 4w taa inazima ila hapo gia unakuwa huzipati, nini tatizo hasa.. na sasa limekiwa na tatizo la kunyonya betri, unaweza ukawa unatembelea lakin gari inakuzimikia ghafla, hasa unapokuwa umepunguza mwendo na kurudi gia ya ndogo(kubwa) mfano uko 3, unarudi mbili pale inaweza ikazimika kabisa, hapo ukiwasha betri haipigi..