msaada ! nini tofauti kati ya postgraduate na undergraduate .

king Chuga

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
510
52
wana jf wenzangu naomba mnieleweshe maana huwa naskia postgraduate sielewi maana yake.
 
Undergraduate unasoma course ili kupata degree ya kwanza lakini postgraduate unasoma course fulan ukiwa na degree tayari, kwa mfano injinia anataka kufundisha chuo cha uinjinia akaamua kusoma koz fulan za ualimu huyo tutasema anasoma postgraduate
 
wana jf wenzangu naomba mnieleweshe maana huwa naskia postgraduate sielewi maana yake.

Kifupi postgraduate ni nikuendelea na masomo baada ya shahada ya kwanza(baada ya kugraduate)
Undergraduate kabla hujamaliza bachelor degree!
 
wana jf wenzangu naomba mnieleweshe maana huwa naskia postgraduate sielewi maana yake.

Kiufupi postgraduate ni nikuendelea na masomo baada ya shahada ya kwanza(baada ya kugraduate)
Undergraduate kabla hujamaliza bachelor degree!
 
Back
Top Bottom