Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
Pole sana mkuuMimi pia betri mbili zimekufa ndani ya miezi 6. Sijajua sababu.
Asante mkuu. Pole pia.Pole sana mkuu
NimeshapoaAsante mkuu. Pole pia.
Sukrani sana mkuuNimenunu lenovo tangu mwaka jana gosti.. mpaka leo inatunza chaji kwa 5+ hours
1. Usicheze gemu pc ikiwa na betri
2. Usitumie pc kitandani
3. Usiiache pc ika-overcharge kwa muda mrefu
4. Weka utaratibu wa kuichaji pc yako ikiwa not below 20%
Ukiona ina kumi na kitu au ishirini ichajiSukrani sana mkuu
Kwahiyo mkuu natakiwa PC ikipungua asilimia ngapi niichomeke chaji?
Mkuu kwanza pole kwa majanga..Msaa wenu jamani maana nilikuwa natumia PC huku nimeichomeka chaji.
Je nini nizangatie ili betri isife endapo nitanunua betri mpya?
Asante sana mkuu na pia pole sanaMkuu kwanza pole kwa majanga..
Kwa ufahamu wangu na uzouefu wangu wakutumia laptop kuna sababu zangu kuu mbili tu zinazofanya battery ife mapema.
1. Kutumia laptop muda mrefu huku ikiwa kwenye charge.
2. Kutumia laptop muda mrefu ikiwa ipo kwenye kitanda (godoro) hapo inasababisha mashine kutopata kupumua vizuri maana godoro linahifandi joto na kufanya battery kupata Moto muda wote..
Mwisho kabisa nyoongeza ni kwamba battery nzuri na yenye maisha marefu ni ili original inayokuja na laptop ikiwa mpya (brand new), ila hizi za kununua madukani kureplace OG iliyokufa nyingi hazina maisha marefu hata ukiitunza vizuri..
Nilikua na laptop yangu miaka ya nyuma ulivyokua mpya ilikua na uwezo wa kufikisha hadi masaa8 bila kuchomeka charge ile battery iliyokufa nikaenda kariakoo kununua nyingine kuweka hata masaa mawili haifiki.
Kwa ajili ya kujisomea na kuchat kwenye mitandao ya kijamiiLaptop yako unatumia kwa kazi zipi mkuu kuna utaratibu wa kutunza battery kama matumizi yako mengi ni ku perform heavy editing tasks, kucheza magem makubwa n.k.
Kwanza Kinachoua battery mara nyingi ni heat
Pili nfani ya battery kuna cell ambazo ndio uhai wa iyo battery, hizo cell zina life span yake ya kupokea charge,kadri unavyoicharge mara nyingi ndivyo inavyowai kufa..
Mara nyingi namaanisha ikiisha charge kisha uicharge tena..
Make sure battery yako haipungui 80% itudumu milele..
Mfano tyres za magari zina life span yake ya kuishi tokea imetoka kiwandani zipo kuanzia miaka mi3 na kuendele,nyingine zikitembea kimometre kadhaa vivyo hivyo kwa battery za pc.
Okay kama unatumia sana ukiwa kitandani ni bora iwe inakaa juu ya mto kidogo itaweza kupumua tofauti na ikikaa kwenye godoro,ukishindwa kabisa tafuta stand zake za kuwekea kitandani ili isiwe inapata moto.Kwa ajili ya kujisomea na kuchat kwenye mitandao ya kijamii
Usicheze game PC ikiwa na betri na pia usiiache pc ika over charge kwa muda mrefu? Sasa ukiwa unacheza game huku ume connect waya wa charger si battery itajaa na kuifanya i over charge auNimenunua lenovo tangu mwaka jana agosti.. mpaka leo inatunza chaji kwa 5+ hours matumizi ya kawaida.. kama kutype
Kubrows na movie inapungua kidogo ya hapo
Nimefanikiwa kwa kkuzigatia haya;-
1. Usicheze gemu pc ikiwa na betri
2. Usitumie pc kitandani
3. Usiiache pc ika-overcharge kwa muda mrefu
4. Weka utaratibu wa kuichaji pc yako ikiwa not below 20%
Pc wamaanisha laptop...imeanza kuwa hivyo baada ya muda gani? Uliipata kama mpya au used?Msaa wenu jamani maana nilikuwa natumia PC huku nimeichomeka chaji.
Je nini nizangatie ili betri isife endapo nitanunua betri mpya?
Nilipata used mkuuPc wamaanisha laptop...imeanza kuwa hivyo baada ya muda gani? Uliipata kama mpya au used?
Nimenunua lenovo tangu mwaka jana agosti.. mpaka leo inatunza chaji kwa 5+ hours matumizi ya kawaida.. kama kutype
Kubrows na movie inapungua kidogo ya hapo
Nimefanikiwa kwa kkuzigatia haya;-
1. Usicheze gemu pc ikiwa na betri
2. Usitumie pc kitandani
3. Usiiache pc ika-overcharge kwa muda mrefu
4. Weka utaratibu wa kuichaji pc yako ikiwa not below 20%
Haya ndo mambo yetu wengine doh!Usiweke laptop yako kwenye "Sleep Mode". Inaua betri