Sitokujibu nina umri gani bali nitakujibu kwa kuamua kuachana nawe na sina haja ya kuendelea na majadiliano na wewe. Ila kama mate yanatibu chunusi ni kwa nini hakuna dawa yeyote ile duniani kote katika dawa za chunusi ambayo inatumia mate kama moja ya ingredients zake? Usipoteze muda wako na wangu kunijibu, just kaa kitako na ujiulize hilo. yaani mabingwa wote wa masuali ya ngozi duniani wawe wameshindwa kugundua hilo?