kwemsangazi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 260
- 87
utangoja sana mkuu
Zipo nyingi tu ndg, bei ni kuanzia laki6 mpaka mil7 kwa mwezi,
ndyo utaratibu huo sasa.....au mtakaji anataka njia gani apate ile ya mchongo wa kuuziwa kimya kmya
Budget yako ni kiasi gani? Na uwe tayari kuinunua baada ya kuishi kwa mda fulani
NimekuPM mkuu
Wandugu salaaam za Eid ziwafikie wote popote mlipo. Naomba kufahamishwa namna navyoweza kupata hizi nyumba za kupanga za National Housing.
Naamini nitapata ushirikiano wa kutosha toka humu jamvini.
Wandugu salaaam za Eid ziwafikie wote popote mlipo. Naomba kufahamishwa namna navyoweza kupata hizi nyumba za kupanga za National Housing.
Naamini nitapata ushirikiano wa kutosha toka humu jamvini.
Mtandaoni wapo..
Welcome to NHC: "Your Partner in Real Estate Development and Management"
Dodoso kuhusu uwezo wa wananchi kununua Nyumba
Let Us Know (Dodoso Kwa Kiswahili)
TARATIBU MPYA ZA UPANGISHAJI NYUMBA ZA MAKAZI NA BIASHARA
http://www.nhctz.com/images/Upangishaji.pdf
Kazi kwako
Upo wapi mkuu?