MSAADA: Ninaharisha tu majimaji bila tumbo kuuma

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
Ninaharisha tu maji maji bila tumbo kuuma sasa nimetumia 'loperamide' wakati huo huo nina dose ya kifua ya koflyn(diphenhydramine) pamoja na amoxlyn(antibiotics).

Sasa naona mafua yameanza mpaka macho yanauma nikifumbua sana na kifua ndio kama kawaida sasa nahofia kunywa hiyo dose yangu nikihofia reaction itakayotokea na diclofenac ya maumivu pia nimepewa.

Sasa ninafanyaje maana dawa ni nyingi sana je hakuna madhara yoyote yatakayotokea...?

NB: ni jana nimetoka kituo cha afya wamepima malaria uti hakuna sasa wakanambia nirudi wacheck labda na typhoid ila kifua tu ndio wakaniandikia hizo dawa(wakati huo kuharisha kulikuwa bado maana kumeanza usiku huu).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati unasubiri vipimo vya typhoid ambavyo sidhani kama vitakuja positive tumia oral ku replace maji unayopoteza
Nb kuharisha bila maumivu ya tumbo mara nyingi ni mchafuko wa tumbo na unajitibu wenyewe labda iwe kipindupindu kama unaharisha somethings kama maji ya mchele
Ila kipindupindu ni gonjwa la mlipuko ambalo sidhani kama ungekua nalo ungekua hapa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shukran sana brother...nipo Alhamdulillah...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom