Msaada: Nina roho mbaya sana jamani

Mkuu nilikua chadema ila baada ya mbowe kumuingiza lowasa basi habari ikaishia hapo.
Mimi sina chama bali naangalia mtu binafsi.
Saivi magufuli ndio kipenzi changu.
Sawa,
Nimekuelewa
 
Sijaiona bado hiyo roho mbaya unayojisifia hapa!! Huko kutokukubali kwako kushindwa na jambo ungekutumia kwenye kupambana na maisha yako na kutafuta maendeleo wala usingekua na hayo mawazo/tabia ya kimasikini,

Tatizo lako linasababishwa na ugumu wa maisha tu, tafuta pesa na utajiona unapona automatic.
 
hahaha Wee jamaa unaroho ngumu zaidi ya mleta mada!
 
Dah...kumbe uko poa tu dogo..hakuna cha dawa wala ushauri unahitajika hapa..hii ni bange tu imekuzingua kidogo kwa sababu ya njaa...pumzika na unywe maji mengi[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Nmegundua unakua hvyo pale unapo jiskia njaaa kalii halaf kaz huna
 
Tumia sadolin weather guard kuipa mwonekano wa kipekee.
 
Hata Scorpion alianza kama wewe,soon utaanza kutamani macho ya watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…