T The onest Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8 Reaction score 0 Apr 19, 2012 #1 Kwa yoyote anayejua dawa ya red eyes naomba anisaidie sababu inantesa sana
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 9,276 Reaction score 9,007 Apr 19, 2012 #2 Visine.
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Apr 19, 2012 #3 osha macho kwa maji safi ya uvuguvugu yaliyo changanywa chumvi kwa mbali.
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Apr 20, 2012 #4 Usafi wa macho kwa ujumla uhimarishe zaid kuosha mara kwa mara kwa maji safi ya vugu vugu na sabun unadumu kwa siku 5 had 7 tangu ukupate
Usafi wa macho kwa ujumla uhimarishe zaid kuosha mara kwa mara kwa maji safi ya vugu vugu na sabun unadumu kwa siku 5 had 7 tangu ukupate
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,515 Reaction score 94,131 Apr 20, 2012 #5 Aisee huu ugonjwa bado unaendelea? Usifikiche macho,nawa mikono yako mara kwa mara,nenda baharini kanawe yale maji na yaingie machoni.
Aisee huu ugonjwa bado unaendelea? Usifikiche macho,nawa mikono yako mara kwa mara,nenda baharini kanawe yale maji na yaingie machoni.