Mtupi Danny
Member
- Jan 4, 2019
- 35
- 2
Hiyo imemiss USB Driver.
Mziki ni kuweka hizo driver maana yabidi atafute PC nyingine azidownload na kuziburn kwenye CD then akainstall kwenye PC yake au aifanye HDD yake kuwa external akopy hizo driver alafu airudishe kwa PC yake afanye installationDrivers umeweka
Sio lazima.. Mbona zipo tu mtandaoni anadownload ana install dak sifurii...Mziki ni kuweka hizo driver maana yabidi atafute PC nyingine azidownload na kuziburn kwenye CD then akainstall kwenye PC yake au aifanye HDD yake kuwa external akopy hizo driver alafu airudishe kwa PC yake afanye installation
Ushaambiwa USB port hazisomi sasa hapo atadownload vipi maana modem haitodetect, ukute WLA driver nazo zimemiss hawezi kufanya Hotspot teethingSio lazima.. Mbona zipo tu mtandaoni anadownload ana install dak sifurii...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooho bhasi kama Hata Tethering haipo balaa...Ushaambiwa USB port hazisomi sasa hapo atadownload vipi maana modem haitodetect, ukute WLA driver nazo zimemiss hawezi kufanya Hotspot teething



Kulingana na maelezo ya jamaa ni kwamba alichomoa HDD akachomeka kwenye PC nyingine isiyoingiliana na yake akashusha windows huko then akairudishia kwenye PC yake so hakuna cha Kurefresh wala nini dawa ni kurudi huko pembeni kudownload driver then airudishe kwako na kuiziinstall mchezo kwishaNenda ka refresh drivers zake kule kwenye devices,...lazma ulitumia flash or external chaf/yenye virus vya kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Zibadilishie Shule zinaweza zikasoma.