Unapenda kula[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] kiliwa jeJaman nadhani kuna watu wa design kama yangu mie mbinti !Jamani mie nimekuwa napenda kula kula vitu viduchu duchu mnoo !yaani nahisi kuna kitu si bure ! imefikia hatua sikosi kitu cha kula kula, vitu navyopenda sana ni vya sukari sukari ubuyu, bites, popcorn za flavor nzuri na sukari !yaani niliamua kujitune nile matunda nikawa najihisi njaa tu, nikahamia kwenye maji nikaona uzushi yananifanya nile zaidi yaani nikikaa bila kula kula najihisi sipo okey kbs! sina mwili mkubwa sana but nanenepa kiwango cha lami
Nikiwa home weekend ndo kabisaaa !naingia kbs jikoni kupika pika napendelea zaidi kubake ,kufry na kutengeneza smoothies basi ikinijia picha ya samak/au nione nyama nzuri sehemu lazimaaa aisee nitajitahd nipate samaki, nyama nikaange nile, hapo saa 10 utanikuta jikoni natengeneza samosa za pilipili nile au nitatengeneza kitu chochote tu mradi niwe na vifaa !uwiii jamani mbona nahisi kuchoka na siipendi hii tabia?? na mume nimemuambukiza basi uwii nakesha jipikilisha tu !
Madaktari msaada wenu nawezaje acha hii tabia yaani nataka niwe nakula atleast mara 4 tu kwa siku !!!!!!!!!! nikate kabisa ice creams na mazaga zaga yake !nataman kuhamia kijijini ambapo hata unga wa ngano ni adimu au matunda yasiwepo !
cc Miss Natafuta aka miss papa!mpenda kula kama mie
Nakula mpaka nizimie leoJaman nadhani kuna watu wa design kama yangu mie mbinti !Jamani mie nimekuwa napenda kula kula vitu viduchu duchu mnoo !yaani nahisi kuna kitu si bure ! imefikia hatua sikosi kitu cha kula kula, vitu navyopenda sana ni vya sukari sukari ubuyu, bites, popcorn za flavor nzuri na sukari !yaani niliamua kujitune nile matunda nikawa najihisi njaa tu, nikahamia kwenye maji nikaona uzushi yananifanya nile zaidi yaani nikikaa bila kula kula najihisi sipo okey kbs! sina mwili mkubwa sana but nanenepa kiwango cha lami
Nikiwa home weekend ndo kabisaaa !naingia kbs jikoni kupika pika napendelea zaidi kubake ,kufry na kutengeneza smoothies basi ikinijia picha ya samak/au nione nyama nzuri sehemu lazimaaa aisee nitajitahd nipate samaki, nyama nikaange nile, hapo saa 10 utanikuta jikoni natengeneza samosa za pilipili nile au nitatengeneza kitu chochote tu mradi niwe na vifaa !uwiii jamani mbona nahisi kuchoka na siipendi hii tabia?? na mume nimemuambukiza basi uwii nakesha jipikilisha tu !
Madaktari msaada wenu nawezaje acha hii tabia yaani nataka niwe nakula atleast mara 4 tu kwa siku !!!!!!!!!! nikate kabisa ice creams na mazaga zaga yake !nataman kuhamia kijijini ambapo hata unga wa ngano ni adimu au matunda yasiwepo !
cc Miss Natafuta aka miss papa!mpenda kula kama mie
Nakula mpaka nizimie leo
hahhaha mie nimekula saa 5 leo !nikaja kula saa 9 !hapa najidunga alcohol hyo had kesho nitajidungaaaa misosi !nimemis pilau la mbuzi jaman !nataka nilikalieee jikoni !ingawa nitakuwa na hangover lol!
enjoy maa'
Mkuu hata mimi nilijua mambo yetu yale kumbe shibe nyambafu sana..Nlipoona appetite ikanijia appetite nyingine..
mie pilau lizid kiduchu hiliki !awwwwwwwwwww !nalihis tamu tayar hapo dadek ! sasa hapo ushushie na koka walah utazimaView attachment 664944 pilao la hatareee nakuambia njoo
Teh nalila na moetmie pilau lizid kiduchu hiliki !awwwwwwwwwww !nalihis tamu tayar hapo dadek ! sasa hapo ushushie na koka walah utazima
Ahahaaa chezeahuhuhu moet ya kina shamim mwasha lol