Msaada: Nimetekwa China

Mkuu wewe ni kiongozi mkubwa sana hapo kenye hicho chama ulichopo?
Chuki ya nini ndugu? kwanini hamkubali ukweli?
Kwanini mnatumia nguvu kubwa kiasi hicho?
It's real i'm agaisnt you and you know it very well so kilichobaki nadhani ni mnataka kujisafisha? right... i think so but wanasema ukijua kweli itakuweka huru.
Niwaambie ukweli tuu siwapendi... na mtambue sio kila mtu anawapenda!
Kwa gia mliyoniingilia nayo pale RUCO sio nzuri ikizingatiwa sina time na nyie.
Gia kama hizo mnapaswa muwaingilie wale watu wenu mnaojua wanawapenda sio sisi sisi watu tunaoamini katika demokrasia na haki.
Lichama gani linatawala toka mwaka 61? yani miaka 57 hamtambui kama kuna wengine? is it right?
Hakika sio haki mnatawala kwa upanga au mkono wa chuma na ndio maana mnanifanyia hivi pamoja na wengine mliowazima mdomo (Detained kimya kimya).
Kwa vile sisi tunamtegemea MUNGU basi atatenda haki kwa maana ni wetu sote.
 
Mkuu sijafanikiwa kuelewa japo kwa kiasi fulani nimevutiwa na simulizi lako kuna mambo mengi ningependa kujua kutoka kwako ila inaonekana sio mtu wa mchezo mchezo huko china unaishi kwa pesa ya nani kwanza tuanzie hapo
Nimeandika kwa kifupi kwa sababu ni mengi yametokea from 2016 yani ningeandika yote ningejaza kitabu.
Nime summarize...
Kuhusu swala la pesa naomba nikuambie tuu ni za wazazi wangu.. nimesoma kwa kwa bodi ya mkopo na tafu kutoka kwa wazazi hayo mengine siyaelewi.
Laiti ungejua maana ya dhuluma basi nafsi yako ingekua na amani.
 
Dishi! Kuna mchangiaji hapo juu amekushauri utafute fundi wa dish mzee
 

hahaha sawa mkuu..ila haya malalamiko ungeyaelekeza ofisi ya H polepole dodoma ungekua umetisha zaidi....maana hao wakina "sisi" na chama "chetu" unaowamaindi hapa ni kama unarusha jiwe gizani...mimi chama nilichopo na nichokipenda ni chama cha wamiliki wa landrover za zamani...
 
Joseph unahitaji mwanasaikolojia.......maelezo yako tatizo sio jamii inayokuzunguka ila lipo kwako mwenyewe
 
Utakuwa unatazama series sana
 
WE JAMAA ULIYETEKWA NANI KAKUTEKA, HALAFU ANAKUPA SIMU UCHATI MAMESEJI MAREEEEFUUU MUDA WOTE HUUU!!!!? Jibu maswali tuliyokuuliza
 
USHAURI;
IANDIKIE JUMUIYA YA KIMATAIFA KAMA UNA UHAKIKA NA UNACHO KIANDIKA HAPA ILI KUOMBA MSAAADA !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…