Msaada: Nimetekwa China

Nadhani unatakiwa ukapimwe mkojo na siyo akili maana unaporojo kama za bunuwasi
 
"Wenye ugomv konki na chichiem wametulia hawapig kelel..
umesema unasoma😏😏
ila nnachojua mim wenye ugomv na chichiem kwa saiz on trending ni waliostafu(serikalin)...Acha uzwazwa czan at kamati yao inakujua...Mara Mama ndo playr wa matzo mara Chichiem tena Ohoo!! nyotayangwanaitaka....Nigga what's yo main point..?¿?... poop brain.... Nigga settle down yo fukced mentality on coolio"...Said by Franklin D.Roosevelt
 
Acha utapeli, wewe nani CCM wahangaike na wewe. Halafu mbona uandishi wako unakosa mtiririko wa kimantiki, hebu soma ulichoandika kama utakielewa
 
Watafute watu wawili muhimu sana watakusaidia Evarist Chahali na kaka yake Dr Shika, Evarist Chahali yupo UK utampata mitaani Twitter na JF na kaka yake Chahali anaitwa Dr Shika yupo Dar. Hawa ni mashushushu waliobobea katika masuala ya uokoaji na kusepa mikononi mwa watekaji.
 
Mwana mabadiliko unalialia kama mtoto mdogo. Wewe unaweza ukadhani ni mwana mabadiliko ama CHADEMA kumbe una matatizo ya musongo wa maisha. Siku hizi tumeshajua wengi maisha yakiwapiga mnakimbilia kulaumu CCM. wengine wamekimbia nchi kwenda ughaibuni makaratasi yamebuma wanasingizia wanatafutwa na serikali. Acheni uvivu wa kitoto kama mna matatizo kama Kisandu yawekeni hadharani msaidiwe.

Kisandu alianza kuandika kama wewe mwishowe Dishi likafanya kweli kweli TV ikaanza kuweka chengachenga.
 

Hahahaha
 


Mafiga matatu yamekamilika.
1:- Andrew Nyerere
2:- Deo Kisandu
3:- You-- Mleta mada.

Madishi yameyumba live.
 
Mkuu mpaka hapo nadhani utapata uhalisia zaid
Unaonekana una stress tu za maisha
Kama umekiri kua Mungu wako alikuonya uache siasa,kwa nini unapingana nae?
Hayo mambo ya nyota sijui freemason,ni mambo ya kufikirika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…