Msaada: Nimesahau password ya kufungulia account TCU

Msaada: Nimesahau password ya kufungulia account TCU

Dunya

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
291
Reaction score
162
Natanguliza salamu wakuu! NIFANYE NN nimesahau passoward yangu ya kufungulia A/C ya TCU nataka kuangalia nimechaguliwa chuo gani! Kwa wanaojua Tusaidiane.
 
Recover (forget password)
Uwe unakumbuka data zako zingine kama email na phone no
 
Nenda forgot password? Alafu utaulizwa secret question atajibu alafu uta recover
 
Nenda kwenyw email ulotumia kufungua akaunti,then angalia meseji ya tcu utakuta details zako pale user name pamoja na password
 
Nenda kwenyw email ulotumia kufungua akaunti,then angalia meseji ya tcu utakuta details zako pale user name pamoja na password
Huna unaloelewa kwenye haya maswala , kakwambia nani kuwa TCU huwa wanatuma email yenye namba ya siri na username au TCU umeifananisha na NACTE?
 
natanguliza salamu wakuu! NIFANYE NN nimesahau passoward yangu ya kufungulia A/C ya TCU nataka kuangalia nimechaguliwa chuo gani! kwa wanaojua Tusaidiane

Ahaha.. Hata mdogo wangu alikua amesahau password yake!
Inabidi utengeneze password kwa kubonyeza ile sehemu iloandikwa "forgot password" afu uingize details ikiwemo transaction id ambayo ulipata ulivoenda kulipia kufungua account. afu uiingize
 
natanguliza salamu wakuu! NIFANYE NN nimesahau passoward yangu ya kufungulia A/C ya TCU nataka kuangalia nimechaguliwa chuo gani! kwa wanaojua Tusaidiane
Uksahau password unaweza fanya iv..... Kama ile msg uliolipa tcu 50000 ka bado ipo tumia ile no ya vocha kuandka password mpya
 
Back
Top Bottom