Msaada: Nimepoteza kitambulisho changu cha NHIF

GONZZ EPACLEM

JF-Expert Member
Dec 3, 2016
312
239
Ndugu wana JF

Ninaitwa Clement Kihinga nipo Mbezi njia panda ya Makabe, nimepotelewa na kitambulisho cha NHIF juzi tarehe 28 September 2019 Chenye employer vote 46,

Jina kamili la employer CLEMENT KIHINGA
Date of birth 30/06/1991
Serial no. 02229
Date of issue 24/08/2007

Chonde chonde kwan aliyekiokota Mahali popote, anisaidie tafadhali au apeleke kituo cha Polisi kilicho karibu.
Mawasiliano yangu

0744854232,
0737021871
0654459979
 
pole sana kijana mwenzangu...una miaka mingapi...? unasoma...? kwa vyovyote vile utakuwa tegemezi ebu jibu hayo maswali nikupe mbinu za kuipata utakuja kunishukuru baadaye
 
Bima yako inaonekana we Ni tegemezi

Cha kukushauri ripot polisi halafu tafuta namna nyingine ya kupata bima ya Aina nyingine hiyo hutapata Tena kutokana na Sheria za sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom