Naxria abdalla
Senior Member
- Feb 28, 2025
- 178
- 311
Aliekupima umemuacha bila kumuuliza hilo swali unakuja kuuliza huku???? Hivi unapenda uhai wako kweli?? Mbona unafanya mambo ya kitoto akati umri unakutupa mkono? Ishu inahusika na afya yako(life and death) unakuja mitandaoni kutafuta hoja za "How to"???? No wonder vijana tunakufa hovyo sababu ya dharau.. Acha ujinga rudi hosptali.Habari zenu naomba husika na mada apo juu jana baada ya kujsikia vibaya nikaenda hosptal na kupima baadhi ya magonjwa ila nimekutwa na presha 140/100 nina miaka 32 naomba kueleweshwa njia za kutumia ili kupunguza iyo presha tofauti na kula dawa ahsante
Umeolewa au [bado]?nina miaka 32 naomba kueleweshwa njia za kutumia ili kupunguza iyo presha tofauti na kula dawa ahsante
74Una uzito wa kilogramu ngapi ?
Oya huyu ni manzi sio manFanya mazoez kunywa maj meng achana na kubet na mademu wasioeleweka
Jipende mwenyew kabla mwanamke
Pungua mpaka 44 kata hizo 30 fanya mazoezi punguza kitambi
Wewe ndo uache ujinga mana ungepita bila kuchangia uwo unaoita ujinga ingependeza sanaAliekupima umemuacha bila kumuuliza hilo swali unakuja kuuliza huku???? Hivi unapenda uhai wako kweli?? Mbona unafanya mambo ya kitoto akati umri unakutupa mkono? Ishu inahusika na afya yako(life and death) unakuja mitandaoni kutafuta hoja za "How to"???? No wonder vijana tunakufa hovyo sababu ya dharau.. Acha ujinga rudi hosptali.
Ahsante kwa ushaurPungua mpaka 44 kata hizo 30 fanya mazoezi punguza kitambi
Lita ngapi sasa inatakiwaMaji mengi unayoshauriwa kunywa pia yana shida,wakuambie mengi kiasi gani siyo unajitwisha Lita 5 kwa siku!!
Azingatie sanaUna kazi?
Pressure katika umri huo kunakuwa kuna jambo linakusumbua stress, hofu kubwa moyoni n.k
Ukipambana na suala linalokupa presha ndipo utatibu presha hiyo. Vinginevyo hata ule mawe. Ndio maana utasikia watu wanakwambia tuliza presha, presha ya nini?
Yaani ili uwe na presha lazima kuna kitu kinaelemea moyo wako.
Km hujaolewa olewa mwambie jamaa yako akutwishe mimba haraka nakuhakikishia presha utaisikia kwa wenzako tu na hio ndio dawa pekee ya presha..Ahsante kwa ushaur