Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Hivi hayo magonjwa bado yapo khaaaaaaa pole sana wahi hosp japo watakwambia uje na aliyekuambukiza ....... pima zote kama unaweza kupata hii na ile nyingine pia pima